Karibu MJ Investment & real estate Agent
Mradi wa viwanja kiegea B unapatikana ndani ya Manispaa ya Morogoro, Mradi huu una viwanja vya makazi,Biashara,Viwanda na Taasisi....
Mradi wa viwanja sangasanga unapatikana ndani ya Halmashauri ya Mvomero ndani ya mkoa wa Morogoro, Mradi huu una viwanja vya makazi,Biashara,Viwanda na Taasisi.....
Zoezi la upimaji wa ardhi linaendelea katika kijiji cha kiegea B kata ya Mkundi, Gharama zetu za upimaji ni nafuu sana na tunatumia vifaa vya kisasa....
Zoezi la umilikishaji wa viwanja linasimamiwa na Kmpuni baada ya mteja kukamilisha malipo ya kiwanja chake, huku ofisi ikisimamia ubebaji wa nyaraka za mteja wakati wote wa umilikishaji wa ardhi.....